Mkuu itel huaga waipendea nini, yaonyesha kuna something special kwake..emu ni chanue kiasiWivuuuuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eeh kipindi kile ndo katoka na migomba ya in da club ana hit balaa, kilimanjaro music awards walikpa zawadi ya lichuma eti akalipokea mwakilishi wake sijui alikuwa afisa ubarozi wa marekani na bahasha sijui ilikuwa na nini.Hvi 50cent kapewa award na Kilimanjaro awards[emoji1787][emoji1787]
Wewe ni miongoni mwa watu pori, tuzo zipi ni tuzo za kimataifa, nani mwenye haki miliki ya kuandaa tuzo za kimataifa?, bado upo na matongotongo ya porini, unahitaji sala na maombi, sitoshangaa ukisema bado watanzania hatupaswi kujitawala kwasababu kura tunapeana wenyewe kwa wenyewe, Bure kabisa wewe.Hakuna cha uncivilized hapa, hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za hbaba alizoziandaa akajipa mwenyewe.
Acha ushabiki mandazi. ATCL bado sana na haijashinda tuzo yoyote ya kimataifa. Hizi tuzo za ndani ndani tu humu tunapeana peana.
Tunaweza kuandaa awards lakini sio za kimataifa na ndio maana kampuni zilizoshinda ni za ndani. Tigo imeshinda kwenye kipengele cha kampuni za mawasiliano zinazopendwa.
So, usije hapa zifanya zionekane ni tuzo za kimataifa
Uliza Kule Nigeria ambako Nigerians musicians huongoza kupata awards, mbona 50cent hajawahi kupata awards?.Hvi 50cent kapewa award na Kilimanjaro awards[emoji1787][emoji1787]
Wivuuu umewashika[emoji13][emoji13][emoji13]Nikiwaambia mwanzilishi wa huu uzi ana shida ya kiakili mnaona kama nammuonea. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kubali tu huna haja ya kubisha tuzo ni local ndio maana washindi ni millard ayo, afya, afya water, atcl , crdb, dcb local local tuWewe ni miongoni mwa watu pori, bado upo na matongotongo ya porini, unahitaji sala na maombi, sitoshangaa ukisema bado watanzania hatupaswi kujitawala kwasababu kura tunapeana wenyewe kwa wenyewe, Bure kabisa wewe.
Nigeria wakiandaa awards wakashinda Dovido na Buena Boy, hizo unadhani ni sahihi, ila Tanzania wakiandaa awards na Diamond au Air Tanzania ikishinda kwako haikubaliki, Rudi porini ulikotoka
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umerudi pale pale mzee, award ni za bongoUliza Kule Nigeria ambako Nigerians musicians huongoza kupata awards, mbona 50cent hajawahi kupata awards?.
Hivi Burna Boy, Diamond Platnumz na wanamuziki wengine wakubwa, walishawahi kuwazidi wanamuziki wa US katika awards zinazoandaliwa USA, tumia akili
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hahaa...noma sanaEeh kipindi kile ndo katoka na migomba ya in da club ana hit balaa, kilimanjaro music awards walikpa zawadi ya lichuma eti akalipokea mwakilishi wake sijui alikuwa afisa ubarozi wa marekani na bahasha sijui ilikuwa na nini.
Yule barozi alikuwa mzee fulani mmarekanj ana swag kama za Zahir Zorro hadi nywele
Wewe ndiye mwenye mawazo local Sana hapa JFKubali tu huna haja ya kubisha tuzo ni local ndio maana washindi ni millard ayo, afya, afya water, atcl , crdb, dcb local local tu
Hana pesa za kununua simu.Mkuu itel huaga waipendea nini, yaonyesha kuna something special kwake..emu ni chanue kiasi
Tuzo ni local, alafu kwenye heading unailinganisha na KQ, SAA, Ethiopian Arline? wao pia walishirikishwa? Kama jibu ni hapana, basi huu uzi ni batili. Na ninajua hawakushiriki.
Ficha aibu watu watakucheka, wewe unadhani hizo tuzo zote duniani huwa watu wanashirikishwaje zaidi ya kutangazwa katika media na networks mbalimbali ili wadau washiriki kupiga kura?.Tuzo ni local, alafu kwenye heading unailinganisha na KQ, SAA, Ethiopian Arline? wao pia walishirikishwa? Kama jibu ni hapana, basi huu uzi ni batili. Na ninajua hawakushiriki.
Sina pesa lakini Nina chakula cha kunitosha mwaka miwili sio Kama wewe hata chakula huna?[emoji13]Hana pesa za kununua simu.
Hahahaha, ulikua umepotelea wapi?Umerudi pale pale mzee, award ni za bongo
Hahaaa!!nlikuwa umangani
Hujanijibu swali langu mkuu, ulichokiandika nakielewa. Haiwezekani waliopiga kura ni wabongo tu alafu uje na bla bla hizo. Wananchi toka hizo nchi zingine walishiriki kwenye upgaji kura. Yaani hii ATCL iyazidi hayo mashirika mengine?Ficha aibu watu watakucheka, wewe unadhani hizo tuzo zote duniani huwa watu wanashirikishwaje zaidi ya kutangazwa katika media na networks mbalimbali ili wadau washiriki kupiga kura?.
Wanashirikishwa Moja kwa Moja ni makampuni yenye kujihusisha na usafirishaji wa anga na baadhi ya watu ambao husafiri mara kwa mara, Sasa ulitegemea watu ambao hata siku Moja hajawahi kusafiri kwa ndege pia ashirikishwe?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
But he has the financial muscle to buy all your food stuff na akuache bila chakula.Sina pesa lakini Nina chakula cha kunitosha mwaka miwili sio Kama wewe hata chakula huna?[emoji13]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwanza ulijuaje kwamba waliopiga kura ni wabongo pekee?, Mbona tuzo za USA ambako washindi wengi hutoka USA au tuzo za South Africa na Nigeria ambako washindi wengi hutoka nchi hizo huzirilii mashaka?.Hujanijibu swali langu mkuu, ulichokiandika nakielewa. Haiwezekani waliopiga kura ni wabongo tu alafu uje na bla bla hizo. Wananchi toka hizo nchi zingine walishiriki kwenye upgaji kura. Yaani hii ATCL iyazidi hayo mashirika mengine?