Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Yaan mshanikera to maxmum. Si muondoe namba zenu za customer care. Maana nina siku ya pili sasa nawapigia kubadilisha tarehe ya safari hamchukui simu zangu. And sina muda wa kuja kwa ofisi.
Mnafanya biashara kwa kujisikia sana nyie watu, mnachelewesha safari yaan kama daladala vile mtu unaeza kupanga ndege ya saa 12 unakuja kuondoka saa sita usiku.
Mnafanya biashara kwa kujisikia sana nyie watu, mnachelewesha safari yaan kama daladala vile mtu unaeza kupanga ndege ya saa 12 unakuja kuondoka saa sita usiku.