Airbnb appartments design kali sana hii ukijenga unakula hela uhakika

Airbnb appartments design kali sana hii ukijenga unakula hela uhakika

Hharyson

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
2,146
Reaction score
632
3D_2 - Photo.jpg
3D_4 - Photo.jpg
3D_5 - Photo.jpg
3D_6 - Photo.jpg
call us to get your design +255624004650
 
AirBNB Ndio nini?!
Mimi sipo huko Dar
Airbnb ni platform ya mtandaoni inayounganisha watu wanaotafuta malazi ya muda mfupi na wale walio na nafasi ya kukodisha, kama vile vyumba, nyumba, au hata majengo ya kifahari. Ni kama hoteli, lakini badala yake, unaweza kukodisha sehemu binafsi moja kwa moja kutoka kwa watu binafsi.

Inapatikana kupitia tovuti au programu ya simu, na ni maarufu duniani kote kwa ajili ya safari za kifamilia, burudani, au hata safari za kibiashara. 😊
 
Airbnb ni platform ya mtandaoni inatounganisha watu wanaotafuta malazi ya muda mfupi na wale walio na nafasi ya kukodisha, kama vile vyumba, nyumba, au hata majengo ya kifahari. Ni kama hoteli, lakini badala yake, unaweza kukodisha sehemu binafsi moja kwa moja kutoka kwa watu binafsi.

Inapatikana kupitia tovuti au programu ya simu, na ni maarufu duniani kote kwa ajili ya safari za kifamilia, burudani, au hata safari za kibiashara. 😊
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom