Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa sana.
Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi hasa?
Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi hasa?