Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wateja wakubwa ni watalii na watu walio honeymoon ni lodge fulani ila katika mfumo wa nyumba za kuishi,mteja anajipikia mwenyewe kama yuko kwakeSijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa sana.
Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi hasa?
So inafaa miji ya kitalii sana sana.Wateja wakubwa ni watalii na watu walio honeymoon ni lodge fulani ila katika mfumo wa nyumba za kuishi,mteja anajipikia mwenyewe kama yuko kwake
Ndio hata dar piaSo inafaa miji ya kitalii sana sana.
Inaonekana hii ni bonge ya retirement plan.Unakuwa na nyumba unaitangaza kwenye app yao unaweka sifa zake then watu wanakuja wana book ina hela nyingi hasa nyumba ilowa sehem za utalii..... nina account yenye fake house nimesajili kuwa nyumba ipo Moshi nikatupia vipicha kadhaa,huwa napata request nyingi
DuuuhUnakuwa na nyumba unaitangaza kwenye app yao unaweka sifa zake then watu wanakuja wana book ina hela nyingi hasa nyumba ilowa sehem za utalii..... nina account yenye fake house nimesajili kuwa nyumba ipo Moshi nikatupia vipicha kadhaa,huwa napata request nyingi
I PM you boss, thanks.Unakuwa na nyumba unaitangaza kwenye app yao unaweka sifa zake then watu wanakuja wana book ina hela nyingi hasa nyumba ilowa sehem za utalii..... nina account yenye fake house nimesajili kuwa nyumba ipo Moshi nikatupia vipicha kadhaa,huwa napata request nyingi