Airbus A220-300 5H-TCH imepaki Maatricht kwa heri?

Ndege moja ya Air Tanzania "Dodoma" Hapa kazi tu, iliyowahi kuzuiliwa Afrika kusini inaonyesha kuwa imepark kwenye uwanja wa ndege wa Maastricht. Huu ni utaratibu wa kawaida au tunadaiwa tena?View attachment 2296947

Na ukiperuzi peruzi zaidi, inaonekana dude lipo huko tangu January 2022, status yake ikiwa "Stored"...

Wataalamu wa masuala ya uendeshaji mashirika ya ndege wanaweza toa ufafanuzi ndege ikiwa stored ina maanisha nini, i believe haitakuwa na maana nzuri kwa vyovyote...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…