Airbus A220-300 5H-TCH imepaki Maatricht kwa heri?

Acheni kutoboa siri za nchi. Labda hiyo ndege imepeleka kikosi maalumu cha kufanya special operation za kijasusi sasa nyie mmeshaharibu kwa kuleta habari humu.
 
Duh
 
Duh watu mnachimba sana, uliwaza nini kuangalia status ya ndrge za taifa.
Mkuu kuna mahali nimesoma "comments" za wageni kuhusu huduma za Air Tanzania. Hawa wasafiri walivutwa kusafiri kwenye hizi ndege za A220-300. Nimesoma baadhi tu, kwenye makala za "Aviation"....

Tunapaswa kujifunza zaidi namna bora ya kutoa huduma kwa wateja. "Status'' ya ndege za Taifa imewekwa hadharani kwenye mtandao, kwa maana hiyo siyo siri tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…