Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake.
Sababu hii amedai inafanya ndege yetu kupata hitilafu za mara kwa mara na kulisababishia shirika hasara ambapo kwa mwaka mmoja ndege hizi zimesazalisha hasara ya TSh bilioni 127.3
Soma, Pia:
Sababu hii amedai inafanya ndege yetu kupata hitilafu za mara kwa mara na kulisababishia shirika hasara ambapo kwa mwaka mmoja ndege hizi zimesazalisha hasara ya TSh bilioni 127.3