Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula amesema shirika la ndege nchini (ATCL) linakabiliwa na changamoto ambazo zinakwambisha kufikia malengo yake akiitaja changamoto kubwa ni matatizo ya usanifu wa ndege yetu ya Air Bus Airbus A220-300 ambayo imekuwa na hitilafu kwenye Injini zake.
Sababu hii amedai inafanya ndege yetu kupata hitilafu za mara kwa mara na kulisababishia shirika hasara ambapo kwa mwaka mmoja ndege hizi zimesazalisha hasara ya TSh bilioni 127.3
Sasa huu ni ushenzi.
Kila mwaka loss .
Tulitegemea rais Samia kulifuta hili shirika baada ya kiburi cha magufuli lakini na yeye akaongeza ndege zingine.
Kuna usemi, serikali haifanyi biashara bali inatoa huduma.
Kwa mfano, upatikanaji wa maji ungekuwa unaleta hasara kiasi hicho, tungeachana na maji ili tufe?
Sasa huu ni ushenzi.
Kila mwaka loss .
Tulitegemea rais Samia kulifuta hili shirika baada ya kiburi cha magufuli lakini na yeye akaongeza ndege zingine.