Airlink ni kero

Jiandae kukwama Malawi kwa siku moja au mbili

By the way hii iko operated na ET
Layover Blantyre haizidi (maximum) masaa mawili. Tena siku ya kwenda si Zaid ya dakika 30 mnabadilisha pipa kuelekea Johannesburg
 
Hizi pesa huwa mnaokota wapi? Yani return ticket Arusha nilipe pesa hiyo? Hata Dar Mwanza sitowi nauli hiyo.
Mkuu ilikuwa ni safari ya lazima japo iliniuma sana kulipa hela nyingi hivyo.


Nauli ya DSM - Mwanza kwenda na kurudi Kwa ATCL mara ya mwisho nililipa 723,000 kwenda na kurudi
 
Layover Blantyre haizidi (maximum) masaa mawili. Tena siku ya kwenda si Zaid ya dakika 30 mnabadilisha pipa kuelekea Johannesburg
Usikariri mkuu!

Katika safari zote nilizopitia leg hiyo asilimia 60 tulikwama
 
Mkuu jaribu Ethiopian Airlines nauli zao naona ziko poa, vipi una chukua bidhaa gani huko SA?
 
Jamaa wana bei za kubumba. Ila huduma ovyo sana
 
Kenya
Rwanda
Malawi
Hizi lazima Upiteee kwao unapata dir shukuru Mungu tukipeleka hata mwendo..airudikuee...
 
Kuhusu suala la gharama kuwa kubwa ni kweli, nimewahi kusafiri nayo kwenda Arusha kutokea DSM.

Kwenda na kurudi nililipa 1,080,000 πŸ™Œ
Ulikuwa unawahinmsiba nn kha helayotee hii lekaaaaa
 
Yule mkulima aliyekamata ndege yetu mlishamaliza deni lake?
Mkulima ilikua geresha tu ili Air Tanzania isifanye kazi SA hakuna sehemu wateja wa moja kwa moja ni wengi pamoja na mizigo nakumbuka hata fast jet walikua wanafanyiwa umafia sana sema kwa kuwa sisi tupo busy na siasa fitna za biashara hatuzijui tumekaa tu na kuamini mkulima ndie chanzo wakati Kenya wangepambana kweli kwa kuwatumia wanasheria wa ukweli ili hilo lifanikiwe..
 
Nina taarifa very soon South African Airways inaanza tena route yake ya Dar to Johannesburg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…