Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Hellow, bila kupoteza muda
Naomba kufahamu mshahara wa airport attendant kama JKNIA. kwa anajua
Naomba kufahamu mshahara wa airport attendant kama JKNIA. kwa anajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refers to kitabu cha kiswahili darasa la tano, kabla ya 2014Nje ya mada Saliboko/Sariboko jina hili la kabila gani?.
Eheee😳😳300,000/-
Mkuu mimi ndio kwanza nipo darasa la 3, nipo serious nataka kujua kabila la hilo jina.Refers to kitabu cha kiswahili darasa la tano, kabla ya 2014
Vipi nyingi sana🤣🤣Eheee😳😳
Kuhesabu ndege zinazotua na kuondoka, kukusanya mapato, usafi ,data nkHii taaluma Ina based kwenye majukumu yepi hasa kwenye sekta ya usafiri wa anga? Natamani kufahamu
300,000/-kwa kazi ile huu ni mdogo sana
Haiwezi kua hivo sema ni itakua ni nafasi ya office attendant iliotangazwa JNIA , nahisi hata airside atakua anaiona kwa mbaliiiiiKuhesabu ndege zinazotua na kuondoka, kukusanya mapato, usafi ,data nk
Elewa sio office attendant ni airport attendantHaiwezi kua hivo sema ni itakua ni nafasi ya office attendant iliotangazwa JNIA , nahisi hata airside atakua anaiona kwa mbaliiiii
ahaa, niliona hilo tangazoElewa sio office attendant ni airport attendant
Nadhani ni airport marshallElewa sio office attendant ni airport attendant
NI KATIKA MIKOA YA KAHAMA NA SHINYANGAMkuu mimi ndio kwanza nipo darasa la 3, nipo serious nataka kujua kabila la hilo jina.