Ukiona mtu kajinyejea unataka waongee lugha moja kama wewe kinyeo wa ccm .Mimi sio kundi la watu ,mimi kama mimiKichwa yako imejaa tope, acha kujitutumua kwa ku recycle idea za watu
Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu.
Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona mnaweza kutafuta mikopo.
geografia ya chato ni nzuri kwa pale na ndio itakuwa kitovu kwa afrika mashariki kama chuo kikiwekwa pale kuliko kung'angania uwanja wa JK kufundishia.
- Kaka yake shetani
- chato chuo kiwanja ndege pesa urubani wananchi
- Replies: 8
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Unaonekana maisha yamekudhalilisha hasa, choka mbovu ile mbaya, sidhani kama umekula milo mitatu leoUkiona mtu kajinyejea unataka waongee lugha moja kama wewe kinyeo wa ccm .Mimi sio kundi la watu ,mimi kama mimi
Pole sana masikiniPesa zako za kuongwa na CCM zinakufanya unaenda chooni kila siku kuwa nenepeshea makalio wakufukunyue kinyeo .Ili uje kupinga hapa.