Airports: Kenya vs Tanzania

Airports: Kenya vs Tanzania

Iwe stoppage ya mda something like ku fuel na kuchukua wateja wengine.
Kwa uwelewa wako wanaokwenda Dar wafanyabiashara wa DRC na Zambia watataka hilo? direct flights ni muhimu mzee otherwise kusiwe na competitor hizo routes! Ila nina uhakika DRC na Zambia wataanzisha nao flights kwenye same routes!
 
Back
Top Bottom