Ila Kenyans bana, vitu vyenu ni ili mradi usipigwe jua na mvua.
Angalau siku hizi you have felt challenged by Tanzanians ndiyo mmeanza kujenga vitu vya maana ambavyo mtu anawwza hata akapiga selfie.
Nadhani mlikua mkipewa kujenga nyinyi mlikua mnakula hela ya furnishing.