Airports: Kenya vs Tanzania

Airports: Kenya vs Tanzania

Air Tanzania

screenshot-2023-01-07-074521-png.2471692
Nikianglia hapa nakumbuka ATC used to fly to Iringa not long ago , i think airport iko matengezoni ndo maana
 
Ila Kenyans bana, vitu vyenu ni ili mradi usipigwe jua na mvua.
Angalau siku hizi you have felt challenged by Tanzanians ndiyo mmeanza kujenga vitu vya maana ambavyo mtu anawwza hata akapiga selfie.
Nadhani mlikua mkipewa kujenga nyinyi mlikua mnakula hela ya furnishing.
 
Back
Top Bottom