Hiyo ni shirika la ndege la Qatar. Magufuli kwa akili zake ataanza kuwaza ruti za mbali wakati hizi za karibu anashindwa, Rwanda air walianza na east Africa,.
Yajayo ni Hasara tu.
Aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.Hata kama hatuwezi fika mbali basi tujitahid kuomba tu lifike mbali so kubeza kila siku tukifeli ni mbaya ila tukifauru ni Fahari kwetu sote.Daaah ila vyuma vimekaza