Airtanzania Kufikia level hizo ni ndoto

Airtanzania Kufikia level hizo ni ndoto

MICHUTZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
271
Reaction score
531
Hiyo ni shirika la ndege la Qatar. Magufuli kwa akili zake ataanza kuwaza ruti za mbali wakati hizi za karibu anashindwa, Rwanda air walianza na east Africa,.
Yajayo ni Hasara tu.
X-TIGI_Inspire%203_20181227_053956.jpeg
 
Kubeza kubeza kubeza vya kwenu ni ugonjwa unaokatisha tamaaaaaaaaaa!
 
Aliwazalo mjinga ndo linalomtokea.Hata kama hatuwezi fika mbali basi tujitahid kuomba tu lifike mbali so kubeza kila siku tukifeli ni mbaya ila tukifauru ni Fahari kwetu sote.Daaah ila vyuma vimekaza
 
Back
Top Bottom