TTCL ni miyeyusho Mkuu, focus kwenye Airtel huko ni uhakikaDah! Afadhali manake nimefuatilia TTCL hadi nimechoka. Hakuna namna itabidi Tigo Postpaid niwapige chini na 80GB zao! Nawe Mkuu Kanungila Karim, bakini na Fiber Internet yenu ya TTCL
Hebu fafanua Mkuu manake natajia kujilipua siku chache zijazo. Unazungumzia hizi packages za unlimited, au?Airtel ni walaghai, baada ya kuuza tu modem twao, wamebadili ma bundle na kurudi mle mle, nimeshakivunja.
Hao TTCL sitaki hata kuwasikia. Just imagine kwa mara ya kwanza nili apply 2022, na nimefanya application mara 4TTCL ni miyeyusho Mkuu, focus kwenye Airtel huko ni uhakika
Hebu fafanua Mkuu manake natajia kujilipua siku chache zijazo. Unazungumzia hizi packages za unlimited, au?
😂😂Kwamba alikuwa anadownload dunia na vyote vilivyomo. Nimecheka sanaGb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?
Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well
Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi.
Gharama ya kifurushi cha chini ni fixed 55,000, Downloading Speed 20Mbps😂😂Kwamba alikuwa anadownload dunia na vyote vilivyomo. Nimecheka sana
Hivi mkuu, hizo Router za TTCL zinagharimu kiasi kipi cha pesa wakati unaanza? i.e gharama ya Router na kifurushi cha kuanzia
Hali ipoje kwasasa mkuu?Hata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.
Binafsi ni mtumiaji wa Airtel kwa zaidi ya miezi 6 lakini sijawahi kukutana na hiyo changamoto
Matumizi yangu kwa mwezi si chini ya 1TBView attachment 2917009
Miezi miwili iliyopita nilikutana na changamoto ya speed kupungua, ni tatizo ambalo lilidumu kwa siku zaidi ya 10.Hali ipoje kwasasa mkuu?
Jamaa bado wapo vizuri, au magumashi tu walikuwa wanakulia timing?
Napata wakati mgumu sana kuchagua mtandao sahihi kununua router kati ya Vodacom, Airtel na Halotel. Mahali nilipo huduma za fiber hazijafika.Miezi miwili iliyopita nilikutana na changamoto ya speed kupungua, ni tatizo ambalo lilidumu kwa siku zaidi ya 10.
Hiyo ndio experience yangu ya kwanza kwa kipindi chote cha utumiaji wangu.
Chukua AirtelNapata wakati mgumu sana kuchagua mtandao sahihi kununua router kati ya Vodacom, Airtel na Halotel. Mahali nilipo huduma za fiber hazijafika.
Nimekupata vizuri kaka. Kuna mdau amejitokeza anataka kuniuzia airtel router ya smartbox, ila nimempa masharti nilipie kifurushi nitumie mwezi mzima, nikivutiwa nayo ndio ninunue, jamaa amekubali. Mimi nataka niwe natumia magetoni lakini najua kuna wapangaji wenzangu wataleta shanapa tu, nitawakadilia bei ya nywila.Chukua Airtel
Japo Airtel iliniletea miyeyusho lakini nimekuja kugundua ndio option sahihi kuliko Voda na Tigo labda iwe fiber.
Airte waliponizingua nikahamia Halotel. Halotel ndio walikuwa wabovu maradufu kwasababu wale kifurushi chao hakieleweki kina speed gani
Kwa hiyo huwezi hata kulalamika kwasababu hakuna maelezo ya speed ya hicho kifurushi. So kuna muda walikuwa wananipa hadi 40Mbps ila haichukui hata dakika 2 wananipa 4Mbps ambayo hiyo ilikuwa inakaa muda mrefu.
Kama huna matumizi makubwa ya internet na wala demand yako sio kasi basi unaweza kufikiria Halotel.
Halotel ikifika usiku majira ya kuanzia saa 5 ilikuwa inapasua sana ila mchana ni kinyonga.
Japo kuna baadhi ya wadau wanadai kwa upande wao inapasua bila shida ila mimi kwa experience yangu nimepata upside down nyingi kwenye huduma yao.
Oya walikuwa sahihi hii ishu imeanza kunikuta mimi miezi kama miwili iliyopita.Kiongozi, hebu nipe elimu manake miluzi inanipoteza. Kwa jinsi watu wanavyoongea ni wazi wanachotoa sio unlimited bali wanatoa kiasi fulani cha GB na baadae ku-apply throtting pale GB ulizopewa zinapoisha. Je, unaweza kuwa na idea kwa ile plan ya 70K inaweza kuwa ni GB ngapi? Au hiyo ya kwako ni plan ipi hasa?
Ndio maana niliwakimbia, washenzi sanaOya walikuwa sahihi hii ishu imeanza kunikuta mimi miezi kama miwili iliyopita.
Awali sikuwahi kukumbwa na tatizo hilo ila nilipokutana nalo nilienda hadi HQ kuripoti.
Na majibu waliyonipa ni kuwa wanafanya throttling baada ya mteja kufikisha matumizi ya 1TB.
Na hiyo limit ya 1TB ni kwa wale wenye speed ya 30Mbps ila users wa 10Mbps ukoml wao ni 500GB after that unakutana na throttling.
Wametuhujumu hawa mbwa
Ukakimbilia wapi?Ndio maana niliwakimbia, washenzi sana