Airtel 5G Unlimited Internet

Airtel 5G Unlimited Internet

Dah! Afadhali manake nimefuatilia TTCL hadi nimechoka. Hakuna namna itabidi Tigo Postpaid niwapige chini na 80GB zao! Nawe Mkuu Kanungila Karim, bakini na Fiber Internet yenu ya TTCL
TTCL ni miyeyusho Mkuu, focus kwenye Airtel huko ni uhakika
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Airtel ni walaghai, baada ya kuuza tu modem twao, wamebadili ma bundle na kurudi mle mle, nimeshakivunja.
Hebu fafanua Mkuu manake natajia kujilipua siku chache zijazo. Unazungumzia hizi packages za unlimited, au?
 
Gb 800, ulikuwa unaidownload Dunia!? Na vyote vilivyomo!?

Tumia TTCL ni unlimited! unlimited kwelikweli!... Sio hao vibaraka wa nape! 20mbps downloading 20mbps uploading speed as well

Natumia wifi router yao mkoani... Ni 55,000 Kwa mwezi.
😂😂Kwamba alikuwa anadownload dunia na vyote vilivyomo. Nimecheka sana

Hivi mkuu, hizo Router za TTCL zinagharimu kiasi kipi cha pesa wakati unaanza? i.e gharama ya Router na kifurushi cha kuanzia
 
😂😂Kwamba alikuwa anadownload dunia na vyote vilivyomo. Nimecheka sana

Hivi mkuu, hizo Router za TTCL zinagharimu kiasi kipi cha pesa wakati unaanza? i.e gharama ya Router na kifurushi cha kuanzia
Gharama ya kifurushi cha chini ni fixed 55,000, Downloading Speed 20Mbps

Gharama ya kufanyiwa installation itategemea utakavyoongea na fundi wa TTCL baada ya kumaliza kulipia Router na Radio ofisini Kwao.

Sijajua mkoa uliopo, Mimi natumia TTCL fiber niko Kanda ya Sato na Sangara!

Kama pengine uko Dar, Arusha, Tanga, na maeneo yote ya mijini mikoani ...

Unaweza pia kuunganishwa na TTCL Copper ambayo ni cheap zaidi...

Inatumia nyaya za simu za landline uzionazo mijini (kama zipo) maeneo ulipo, ili kukupa internet.
 
Hata fiber nayo speed inapunguwa users wakiwa wengi.

Binafsi ni mtumiaji wa Airtel kwa zaidi ya miezi 6 lakini sijawahi kukutana na hiyo changamoto

Matumizi yangu kwa mwezi si chini ya 1TBView attachment 2917009
Hali ipoje kwasasa mkuu?
Jamaa bado wapo vizuri, au magumashi tu walikuwa wanakulia timing?
 
Hali ipoje kwasasa mkuu?
Jamaa bado wapo vizuri, au magumashi tu walikuwa wanakulia timing?
Miezi miwili iliyopita nilikutana na changamoto ya speed kupungua, ni tatizo ambalo lilidumu kwa siku zaidi ya 10.

Hiyo ndio experience yangu ya kwanza kwa kipindi chote cha utumiaji wangu.
 
Miezi miwili iliyopita nilikutana na changamoto ya speed kupungua, ni tatizo ambalo lilidumu kwa siku zaidi ya 10.

Hiyo ndio experience yangu ya kwanza kwa kipindi chote cha utumiaji wangu.
Napata wakati mgumu sana kuchagua mtandao sahihi kununua router kati ya Vodacom, Airtel na Halotel. Mahali nilipo huduma za fiber hazijafika.
 
Napata wakati mgumu sana kuchagua mtandao sahihi kununua router kati ya Vodacom, Airtel na Halotel. Mahali nilipo huduma za fiber hazijafika.
Chukua Airtel

Japo Airtel iliniletea miyeyusho lakini nimekuja kugundua ndio option sahihi kuliko Voda na Tigo labda iwe fiber.

Airte waliponizingua nikahamia Halotel. Halotel ndio walikuwa wabovu maradufu kwasababu wale kifurushi chao hakieleweki kina speed gani

Kwa hiyo huwezi hata kulalamika kwasababu hakuna maelezo ya speed ya hicho kifurushi. So kuna muda walikuwa wananipa hadi 40Mbps ila haichukui hata dakika 2 wananipa 4Mbps ambayo hiyo ilikuwa inakaa muda mrefu.

Kama huna matumizi makubwa ya internet na wala demand yako sio kasi basi unaweza kufikiria Halotel.

Halotel ikifika usiku majira ya kuanzia saa 5 ilikuwa inapasua sana ila mchana ni kinyonga.

Japo kuna baadhi ya wadau wanadai kwa upande wao inapasua bila shida ila mimi kwa experience yangu nimepata upside down nyingi kwenye huduma yao.
 
Nimekupata vizuri kaka. Kuna mdau amejitokeza anataka kuniuzia airtel router ya smartbox, ila nimempa masharti nilipie kifurushi nitumie mwezi mzima, nikivutiwa nayo ndio ninunue, jamaa amekubali. Mimi nataka niwe natumia magetoni lakini najua kuna wapangaji wenzangu wataleta shanapa tu, nitawakadilia bei ya nywila.
 
Kiongozi, hebu nipe elimu manake miluzi inanipoteza. Kwa jinsi watu wanavyoongea ni wazi wanachotoa sio unlimited bali wanatoa kiasi fulani cha GB na baadae ku-apply throtting pale GB ulizopewa zinapoisha. Je, unaweza kuwa na idea kwa ile plan ya 70K inaweza kuwa ni GB ngapi? Au hiyo ya kwako ni plan ipi hasa?
Oya walikuwa sahihi hii ishu imeanza kunikuta mimi miezi kama miwili iliyopita.

Awali sikuwahi kukumbwa na tatizo hilo ila nilipokutana nalo nilienda hadi HQ kuripoti.

Na majibu waliyonipa ni kuwa wanafanya throttling baada ya mteja kufikisha matumizi ya 1TB.

Na hiyo limit ya 1TB ni kwa wale wenye speed ya 30Mbps ila users wa 10Mbps ukoml wao ni 500GB after that unakutana na throttling.

Wametuhujumu hawa mbwa
 
Ndio maana niliwakimbia, washenzi sana
 
Kuna mtu anasema anatumia unlimited kwenye simu yake je hii ikoje?
 
Back
Top Bottom