JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 55
- 66
- Thread starter
- #61
Brother voda jau sana mkuu wana contract ya 24 months alfu huduma yao ni postpaid yani ni lazima ulipie kila mwezi usipo lipa wanakudaiYa voda 🔥🔥🔥😍😍 nilikuwa na download movie ya gb 5 ikaishia njiani nililia sana wifi ika ganda