chapachapa
Member
- Jan 14, 2013
- 93
- 21
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...