Airtel acheni hizo

Airtel acheni hizo

chapachapa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
93
Reaction score
21
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...
 
nenda voda wewe, nenda kale maisha huko acha kulalamika, kuna mitandao mingine ukituma sms leo inafika kesho kutwa!

voda no longolongo, kitu inakuwa as advertised full stop, hakuna maujanja ya kibongobongo voda!
 
mitandao yote ni wale wale tu leo utaona voda iko poa kesho utaona airtel nk. Cha msingi ni kutulia kwenye mtandao mmoja
 
Ngoja nikueleze ..........Nilipoweka 4,000/= kwa ajili ya kifurushi cha wiki wanajibu kwa sasa huduma hii haiwezeshwi nimefanya mara 100 wapi... ghafla nikaashanga 4,000/= yangu hakuna kitu imeliwa.... aaaaah kwali yatosha....

Hakyanani kama ulikuwepo sikutaka kuwapromo voda kwa sana la nimejaribu na mitandao mingine nimekuta voda afadhali kidogo..
 
mitandao yote ni wale wale tu leo utaona voda iko poa kesho utaona airtel nk. Cha msingi ni kutulia kwenye mtandao mmoja

Naomba jaribu leo kufanya kama AIETEL wanavyojitangaza utakuta ni madudu matupu ... mimi imeni cost wiki yote hii
 
Kuna mtu nimemtumia sh. 1000 akakatwa yote na huku hadaiwi, na kila siku akiweka salio zaidi ya sh 500 lazima kesho asubuhi akute imeisha, kwa hyo sasa hv anachofanya ni kuweka jero halafu anatumia anakikisha imeisha!

voda walaaaa kwa starehe zetu!!

copy: chapachapa
 
Last edited by a moderator:
Kwa sasa mimi niko Voda lakini ni karaha tupu.Sina raha wala Amani.
Kwa mfano Nikituma Sms inafika baada ya masaa 2, tatizo hili liko toka mwezi uliopita.
 
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...

Sipendi kuwasikia kabisa Hawa jamaa ni waongo sana ... wanamethali ya kindengeleko .. zilongwa mbali zitendwa mbali... yaani matangazo yao na wanachokisema ni tofauti sana binasi nimekwama kutumia modem yao muda mrefu kidogo na sasa nacheza na voda na tigo...
 
Kwa sasa mimi niko Voda lakini ni karaha tupu.Sina raha wala Amani.
Kwa mfano Nikituma Sms inafika baada ya masaa 2, tatizo hili liko toka mwezi uliopita.

kaka labda cm yako au dah cjui!!me natumia voda tangu 2009...cm yangu ya pili ndo ninaibadilishia mtandao mara tigo mara airtel,bt wanazingua nw nimeizima kabisa natumia voda tu,na naipenda ile mbaya!hebu review ua 4ne...voda ni bomba
 
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...

Mimi nilinunua kifurushi cha sh.10,000/- cha unlimited net haikuunga mpaka kesho. Kwa hasira nilikubali hasara nikatupilia mbali ki modem chao nikachukua Vodacom, yaani sasa hivi nina enjoy net ile mbaya.
 
ivi hakuna makampuni zaidi ya haya tuliyonayo me naona wote hamna kitu natamani yaje mapyaaaaa
 
Back
Top Bottom