chapachapa
Member
- Jan 14, 2013
- 93
- 21
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...
nenda voda wewe, nenda kale maisha huko acha kulalamika, kuna mitandao mingine ukituma sms leo inafika kesho kutwa!
voda no longolongo, kitu inakuwa as advertised full stop, hakuna maujanja ya kibongobongo voda!
mitandao yote ni wale wale tu leo utaona voda iko poa kesho utaona airtel nk. Cha msingi ni kutulia kwenye mtandao mmoja
Nawashangaa wanaposema Yatosha ....Matangazo mengi ya kujidai na kujinafasi lakini utendaji mbovu.... amini usiamini leo baada ya kupiga customer care yao wakawa hawapatikani.. baadaye wanapatikana lakini kwa muda wa saa 1 na zaidi mashine inanijibu tafadhali subiri maopereta wetu wanapokea simu nyingine na ukiingia katika vifurshi vyao vya wiki siku ni mauza uza hakuna kinacho kubali ...wadau nimehama badala ya kuhamia kweli Airtel leo nimeamini kwamba yatosha...
Kwa sasa mimi niko Voda lakini ni karaha tupu.Sina raha wala Amani.
Kwa mfano Nikituma Sms inafika baada ya masaa 2, tatizo hili liko toka mwezi uliopita.