Airtel Asante, mlipotufikisha natupa line yenu

Airtel Asante, mlipotufikisha natupa line yenu

Chimo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2008
Posts
714
Reaction score
361
Kuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu naona mnataka kutufilisi.

Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu.
  • Ofa yako kisha
  • Bando Zaidi
Sikufungua video
Wala Sikutumia YouTube, TikTok wala Ista
Zaidi ni kusoma message za WhatsApp tu
Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la 2000


Upuzi Huo
 
Mkuu kwani hujalala?!!!mimi nilienda kukojoa nikaona nichungulie kidogo
 
Na wa iPhone je? Maana siamini gb 12 zimeisha ndani ya week 3 hata kama naingia na tiktok & you tube.
Kwa iPhone unatakiwa uzime background process zisizo za msingi. Imagine kwenye iphone wanabackup kila kitu kuanzia picha unazopiga, videos, email, bado whatsapp chats na media. Na sometimes kwenye photos app ukitaka kufungua picha lazima iload kutoka kwenye online backup ndiyo uiview. Unatakiwa uzime zote hizo la sivyo watakuwa wanakutia hasara.
 
Kwa iPhone unatakiwa uzime background process zisizo za msingi. Imagine kwenye iphone wanabackup kila kitu kuanzia picha unazopiga, videos, email, bado whatsapp chats na media. Na sometimes kwenye photos app ukitaka kufungua picha lazima iload kutoka kwenye online backup ndiyo uiview. Unatakiwa uzime zote hizo la sivyo watakuwa wanakutia hasara.
Ni kweli, nazimia kwa wapi Pj?
 
Mimi niliapa sitokuja kutumia huo mitandao tokea wanifanyie uhuni kama huo , mm ile kuweka bando eti 75% kwa notifications za wasap tu .
 
Ni kweli, nazimia kwa wapi Pj?
Ingia settings halafu nenda kwenye settings za photos app, halafu zima kwenye button ya icloud photos.

Unaweza ukaingia pia kwenye apple id yako juu kabisa kwenye ukurasa wa settings, halafu ukaingia kipengele cha icloud ukachagua apps ambazo hutaki zifanye icloud backup.
 
Shida sio Airtel, shida ni wewe... technical-know-how ni tatizo la wengi wetu, tutaendelea kuilaumu hii mitandao hadi pale tutakapokuwa tayari kujifunza.
 
Zamani sana kutumia airtel kwa ajili ya internet. Ila ninachojua ni airtel na Halotel zipo kwa ajili ya bando za Sms, tigo kwa ajili ya bando la kipiga na vodacom kwa ajili ya m pesa, internet na kupiga pia. Hii yote imetokana na nguvu ya mtandao wao.
 
shida ni wewe siyo Airtel, kuna system app zina sync info/pics zako kwa GCloud kila kukicha
bando likikata unasingizia mtandao kweli
zima data uone kama bando litakata
 
Zima hizo app usizozitumia kwenye app settings ya simu na uache za muhimu kwa muda husika mi mbona mb 100 zinakaa had siku mbili kulikoni ww hizo gb
 
Mtandao wa airtell waachie wamasai kule vijijin watumie. We wa mjini hujaona mtandao wa maana wa kutumia?
 
Kama huu mtandao umeshindwa kuhifadhi 'privacy' za wateja wake, unategemea watajali hiko ki 'Buku mbili 'chako?.
 
Back
Top Bottom