Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
tutaheshimiana tu... Tigo.. elfu 35 tu kwa mwaka mzimaKuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu Naona mnataka kutufilisi.
Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu .
-ofa yako kisha
-Bando Zaidi
Sikufungua video
Wala Sikutumia YouTube,TikTok wala Ista
Zaidi Ni kusoma message za WhatsApp tu
Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la 2000
Upuzi Huo
HAKUNA VYA BURE