Na wa iPhone je? Maana siamini gb 12 zimeisha ndani ya week 3 hata kama naingia na tiktok & you tube.mkuu nenda playstore toa auto update upande wa setting.
Kwa iPhone unatakiwa uzime background process zisizo za msingi. Imagine kwenye iphone wanabackup kila kitu kuanzia picha unazopiga, videos, email, bado whatsapp chats na media. Na sometimes kwenye photos app ukitaka kufungua picha lazima iload kutoka kwenye online backup ndiyo uiview. Unatakiwa uzime zote hizo la sivyo watakuwa wanakutia hasara.Na wa iPhone je? Maana siamini gb 12 zimeisha ndani ya week 3 hata kama naingia na tiktok & you tube.
Ni kweli, nazimia kwa wapi Pj?Kwa iPhone unatakiwa uzime background process zisizo za msingi. Imagine kwenye iphone wanabackup kila kitu kuanzia picha unazopiga, videos, email, bado whatsapp chats na media. Na sometimes kwenye photos app ukitaka kufungua picha lazima iload kutoka kwenye online backup ndiyo uiview. Unatakiwa uzime zote hizo la sivyo watakuwa wanakutia hasara.
Ingia settings halafu nenda kwenye settings za photos app, halafu zima kwenye button ya icloud photos.Ni kweli, nazimia kwa wapi Pj?