Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
tutaheshimiana tu... Tigo.. elfu 35 tu kwa mwaka mzimaKuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu Naona mnataka kutufilisi.
Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu .
-ofa yako kisha
-Bando Zaidi
Sikufungua video
Wala Sikutumia YouTube,TikTok wala Ista
Zaidi Ni kusoma message za WhatsApp tu
Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la 2000
Upuzi Huo
Mimi niliweka over wi Fi onlymkuu nenda playstore toa auto update upande wa setting.
Hio ni moja ya janga kubwaTatizo la watanzania wengi ni technical know-how na si lawama juu ya mitandao.
Una smartphone, kwanini usiiset ifanye kazi vile utakavyo, ile bundle kwa kiwango utakacho, utumie apps uzitakazo mwenyewe?
Wengi wanamiliki smartphone ila hawajui matumizi sahihi ya simu hizo.
Ahsantemkuu nenda playstore toa auto update upande wa setting.
HOJA NI KWAMBA, KWANINI MALALAMIKO YAMEKUWA MENGI KATIKA AWAMU HII NA SI AWAMU NYINGINEZO?Tatizo la watanzania wengi ni technical know-how na si lawama juu ya mitandao.
Una smartphone, kwanini usiiset ifanye kazi vile utakavyo, ile bundle kwa kiwango utakacho, utumie apps uzitakazo mwenyewe?
Wengi wanamiliki smartphone ila hawajui matumizi sahihi ya simu hizo.