Airtel Customer Car jobs(nielimiesheni tafadhali)--

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
2,469
Reaction score
284
wapendwa..

Naomba kujuzwa kuhusu kazi tajwa hapo juu (baada ya kusumbuliwa na maswali bila majibu)...
-mazingira ya kazi
-idadi ya masaa ya kazi
-malipo yake
-aina ya mkataba
-kwa kijana wa bongo (bachelor graduate).. je ni ajira ainayofaa kwa kuanzia?

asentioooh....
 
Customer care wengi ni form four na four six,lakini kutokana na ukosefu wa ajira hapa nchini,naw days graduate wengi wameajiriwa na makampuni ya cmu,malipo ni 450,000 gross,kwa kuanzia c mbaya kuliko kuomba,kazi wanafanya kwa shifti,so wakati mwngne utafanya ucku kucha au mchana.
 
haaa kwa mshahara huo afadhali niuze chipsi...na degree yangu ya uzamili nikafanye mautumbo hayo..no way
 
We chezo unataka ulipwe kiac gani labda office iwe yenu
 
kaka angalia usawa mwingine, baada ya kuingia mu-hindi (airtel) wameajiri watu wa customer care kwa 270,000 (laki mbili na sabini). Labda makampuni mengine ya simu na sio airtel na kwanza kitengo cha customer care kipo under SPANCO ni kampuni nyingine ya India huko.
 

duh!litle kwakweli
 
Sio laki mbili na sabini bali ni laki moja na nusu penyewe unafanya kazi kuanzia saa kumi na mbili hadi saa nne usiku
 
Ahsante ni wapendwa kwa mawazo yenu... nitaufikisha ushauri wenu kwa walengwa iwasaidie kufanya maamuzi sahihi...!!
 
Km una tayari umeipata hiyo kazi nenda kafanye kuliko kukaa mtaani na kusubiri naamini inaweza kuwa nafasi ambayo inaweza kukupa mpenyo wa kupata nafasi nyingine nzuri hata ukiwa hapo airtel. nina jamaa yangu aliianza ktk post km hiyo tigo baadae zikatoka nafasi za accountants na akapata alikuwa na bachelor ya Business Administration, so nakushauri km ipo nenda kafanye.
Gud luck
 
Kwa LAKI MOJA NA NUSU ???????kwanza piga hesabu gari mbili kwenda na kurudi kila wiki utaacha 7200/=barabarani,kwa mwezi unawapa daladala 30,000/= chai ,chakula cha mchana tenga buku 2 daily kwa mwezi unamwachia mama lishe 30,000/=huko nyumbani ndo sitasema kitu maana unaweza piga NDEFU. think twice mwisho utaiba simu za watu mezani
 


Wewe kweli unaijua Airtel,ndiyo ukweli wenyewe huo!! Wahindi punguza Maslahi Mengi mno!!
 
kajaribu kaka siombaya ni heri uanze ukiona haikulip then unaweza ukaipotezea kuliko kukata tamaa kabisa nivizuri kujaribu jambo mwenyewe kuliko kusikiliza maneno yawatu ingawa kweli salary yake ni laki mbili sabini\
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…