Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wanayo HD call wao walikua wa Mwanzo kabisa kuweka, hd call pia ina quality sana.Wakuu, Voice over LTE ni huduma inayomuwezesha Mtu Kupiga simu wakati Simu ipo kwenye mtandao wa 4G au LTE bila disruption yoyote ile sasa ndugu zangu Airtel wao mpaka leo hakuna Hio huduma kiasi kwamba Ukipiga simu kwa Airtel lazima Internet idrop 3G au iondoke kabisa, Vodacom na Tigo wao naona tayari wana hio huduma tunaomba sana Airtel mlete hio huduma
Apart from Internet disruption pia VoLTE inaongeza quality of call
Sawa Mkuu Nimekuelewa ila Intention ni kuwa Votlte ikiwa ON hata upige simu haupata Disruption ya internetWanayo HD call wao walikua wa Mwanzo kabisa kuweka, hd call pia ina quality sana.
Issue ni kwamba VoLTE ama HD call ili ifanye kazi inabidi wote wawili muwe na tech husika, usitegemee umpigie simu mtu ana kitochi then VoLTE I activate.
Simu yangu ni latest mkuu na ina support VoLTE na Hio Service naitumia kwenye VodaUnatumia Simu gani ? Kama ilitengenezwa before 2022 hiyo Sahau , simu zote kuanzia za 2022 zinazo
ipo bana una wasingizia bureWakuu, Voice over LTE ni huduma inayomuwezesha Mtu Kupiga simu wakati Simu ipo kwenye mtandao wa 4G au LTE bila disruption yoyote ile sasa ndugu zangu Airtel wao mpaka leo hakuna Hio huduma kiasi kwamba Ukipiga simu kwa Airtel lazima Internet idrop 3G au iondoke kabisa, Vodacom na Tigo wao naona tayari wana hio huduma tunaomba sana Airtel mlete hio huduma
Apart from Internet disruption pia VoLTE inaongeza quality of call
Mkuu Ku enable Volte na Kukuta mtandao una hio service ni vitu viwili tofautiipo bana una wasingizia bure
Hii huduma iko zaman sana kwa bongoWakuu Hii Service ya VolTE inapatika almost nchi zote ambazo Airtel wapo kasoro Bongo, Airtel Rwanda, Airtel Kenya na Airtel Uganda Kote wamesha launch kwanini Bongo bado?
Hakuna Mkuu, Jiridhishe tena KucheckHii huduma iko zaman sana kwa bongo
Issue sio Kumpigia Mtu ambae hana device yenye VolTE capability, Issue nikuwa Mimi nikisha enable hio service sitakuwa na Disruption za Mtandao when i want to make a callWanayo HD call wao walikua wa Mwanzo kabisa kuweka, hd call pia ina quality sana.
Issue ni kwamba VoLTE ama HD call ili ifanye kazi inabidi wote wawili muwe na tech husika, usitegemee umpigie simu mtu ana kitochi then VoLTE I activate.
HD call haina disruption ya mtandao, ina operate in same way kama Volte, quality yake pia ni kubwa, it's just inatumia 3G badala ya 4G, 2G ndio haina uwezo wa kuoperate data na sauti kwa wakati mmoja.Issue sio Kumpigia Mtu ambae hana device yenye VolTE capability, Issue nikuwa Mimi nikisha enable hio service sitakuwa na Disruption za Mtandao when i want to make a call
Hapo Nimekuelewa Chief japo naona VolTE ya 4G ndio quality zaidi na Ina Offer vingi Vizuri kuliko hio HD call, Imagine unapiga Simu ukiwa kwenye 4G na Hupati downfall ya Mtandao into 3GHD call haina disruption ya mtandao, ina operate in same way kama Volte, quality yake pia ni kubwa, it's just inatumia 3G badala ya 4G, 2G ndio haina uwezo wa kuoperate data na sauti kwa wakati mmoja.