Airtel imenifanyia huu uhujumu

Airtel imenifanyia huu uhujumu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, Toka jana nimejiunga hiki kifurushi cha Mitandao yote SME ila cha kushangaza pesa yangu 5000 wamekata halafu kifurushi hakuna, licha ya kuniletea message za kuwa nimefakiwa kununua kifurushi hiki ila bado hakionekani na hata nikipiga simu naletewa ujumbe kuwa sina salio la kutosha.

Nimejaribu kuwapigia kwenye namba ya 100 ila nifika hatua ya kuunganisha na Mhudumu wao(kuongea na mtoa huduma) Simu yao huwa inakata na kuniletea ujumbe wa kupakuwa app yao.

Msaada wakuu.
Screenshot_20240911-165059_2.jpg
Screenshot_20240911-165135_2.jpg
Screenshot_20240911-165135_2.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240911-165114_2.jpg
    Screenshot_20240911-165114_2.jpg
    41.6 KB · Views: 1
Mtandao wa airtel umekuwa wa hovyo sana hasa kwenye huduma ya kuongea na mtoa huduma, hawapokei zaidi ya kuweka maelezo ya kipuuzi tu. mkuu waibukie kwenye ofisi zao warudishe salio lako
 
Kweli Mkuu, inabidi nifanye hivyo.. wapuuzi sana hawa
 
Nadhani Tanzania kuna shida sana kwenye utoaji wa huduma.

Kidogo Voda wapo vizuri sio mitandao ya simu tu Bali hata kwingineko ni hovyo hivyo tu.

Siyo huko tu hata kwenye hoteli
Na hata unaposafiri utagombaniwa tu pindi hujakata ticket

Ukikata then upate changamoto hawana habar nawewe Tena mara kaa hapo subiria kwanza nk .....

Hii imechangiwa na kupeana kazi Kwa kujuana yaani kuangaliana usoni kuwa huyu wa ba mdogo huyu wa shangazi ama wa dada nk.

Nilkopa mtambo wa Sola wa kuwa nalipia Kila mwezi kiasi fln

Siku Moja nikafanya makosa ikabidi niwapigie. Alipokea mwanaume nikamwelezea shida yangu then akasema subiri tusikate simu niangalie nitakurudia Hivi punde.

Simu ilikaa hewan kama dk20 Hivi sijibiwi kitu ikabidi nikate nipigiee tena

Nilipopiga akapokea mwanamke Bahati nzuri yule jamaa jina nilikuwa nishalijua Tyr nikaomba Moja Kwa Moja niongee na fln yule dada akasema ametoka kidogo kama sitojari hata yeye anaweza nisaidia.

Nikajieleza upya yule dada akaniambia vile vile ka sekunde47 tu akatatua shida yangu.

Akaniuliza una changamoto nyingine nikusiadie nikamwambia nahitaji niongee na fln bila huyu kuongea nae Bado nitarudi kupiga simu Hadi nifanikiwe kumpata hata kama sio Leo.

Yule dada akaomba niseme changamoto Ile nikamwambia Kwa hasira sana nikamwambia kama alijiliwa na shemeji yake hapo mwambie ajitafakari sana.

Hata sisi tunafanya kazi za watu na tuna heshimu sana watu haiwezekan anikalishe halafu aondoke bila kunipa taarifa nikae hewani Kwa dk20

Jamaa huyu mwambie ni MPUMBAVU sana. Hii company sio ya dadake.

Dada akaniomba samahani sana ni kimwambia hakikisha unalifikisha hili sehem husika.
 
Huwa wanajikuta sana wakipata hivyo vikazi vyao
 
Jaribu kutumia laini nyingine,,, ukifikia hatua ya kuongea mtoa huduma mwambie namba yenye tatzo..

Hata Tigo wanamichezo hiyo wakizingua huwa hawaruhusu laini waliyozingua kuwapata...ila ukitumia no nyingine huwa wanajaa 18.
 
Screenshot_20240911-205553.png

Mitandao imekuwa ya hovyo sana, kuna hela wamenizulumu hapo. Ila bado wananiletea sms za kipuuzi kama hizi.
 
Back
Top Bottom