Nimekuwa mfuatiliaji juu ya matangazo ya kibiashara ya kampuni ya simu airtel,hili tangazo jipya la hamia airtel likionyesha bito likiendeshwa na yule manywele pamoja na bajaj zikiwa safarini na kufika sehemu abiria wakishuka nakuchukua ngazi wakipanda mti kutafuta network kisha lile basi lao kubwa likapita na kuwakomba.sasa airtel hamuwezi kufanya matangazo bila kuwapiga vijembe wengine?