Airtel imetosha sasa!

Airtel imetosha sasa!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
756
Nimekuwa mfuatiliaji juu ya matangazo ya kibiashara ya kampuni ya simu airtel,hili tangazo jipya la hamia airtel likionyesha bito likiendeshwa na yule manywele pamoja na bajaj zikiwa safarini na kufika sehemu abiria wakishuka nakuchukua ngazi wakipanda mti kutafuta network kisha lile basi lao kubwa likapita na kuwakomba.sasa airtel hamuwezi kufanya matangazo bila kuwapiga vijembe wengine?
 
Mi nilidhani unazungumzia huduma mbovu, nimetuma sms 20 tangu saa 12 zote ziko pending
 
Haaa bajaji nyekundu(vodacom),Bito(tiGO),bajaji ya kijani(Zantel)
 
Back
Top Bottom