Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
Habari wadau.

Leo Airtel internet imenigomea kabisa.

Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ?

Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
 
Habari wadau.

Leo airtel internet imenigomea kabisa.

Je ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ?

Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
CCM kumbuka ndio wanamiliki Airtel pia.
 
Back
Top Bottom