Mkuu nimeweka kwenye Samsung,Iphone,Ipad na kwenye Modem na Tecno na kote bado iko slow sana.Yani unajiuliza iwapo kuna hujuma ama ni nini?Inakuwa kama vile mtandao umekufa.Hii reply hapa nimebofya nahisi itakuja mara mbili au zaidiUna tumia simu gani kwanza. tuanzie apo
Time is a drug. Too much of it kills you
Hii mitandao inatakiwa iwekeze katika data transmission ambayo naamini ina faida zaidi na pia katika uchumi wa sasa ni BIG WIN.Wataalam wanisaidi hivi gharama za VOICE na TEXT ni kubwa kuliko za kutuma DATA?Ukweli mtupu hata Mimi nimeshaichoka mkuu nataka nikatupe line chooni .
Issue sio kumaliza Bando,issue ni kuweza kufanya mambo yako kwa muda.Unafungua emails hazifunguki,Unachangia JF post hazifiki, Unaenda whatsap meseji haziji,Ukiendwa Twita hivyo hivyo,Ukienda FB hivyo ukitembelea site zingine shida.Kwakweli I agree... Nlihama Tigo baada ya kuongeza Bei ya vifurushi. Airtel kunamuda internet inakuwa slow Sana. Yaaani bundle unashindwa maliza. Ni Hasara kutumia Airtel
Sent using Jamii Forums mobile app
Naangalia movie hapa online kwa pc na nimeanza saa 4, sasa mpk mda huu naangalia tu em jiongeze, bando la voda!Ila huwezi fananisha na jipu Vodacom na Halotel,yani hawa kama halotel kwa sasa wanaishia mijini tu,nje ya miji ni maiti tayari,Vodacom nahisi wana corona.
Ukiona sijalinganisha mitandao ujue sitaki kulinganisha.Leo nataka niamshe na Airtel.Kesho nawapigia simu kabisa.Wasipo chukua hatua basi Nahama Network.Tena sihami kwa kubadili line.Naangalia movie hapa online kwa pc na nimeanza saa 4, sasa mpk mda huu naangalia tu em jiongeze, bando la voda!
Kwani bundle ndo linatengeneza kasi ya mtandao ?Naangalia movie hapa online kwa pc na nimeanza saa 4, sasa mpk mda huu naangalia tu em jiongeze, bando la voda!
Issue sio kumaliza Bando,issue ni kuweza kufanya mambo yako kwa muda.Unafungua emails hazifunguki,Unachangia JF post hazifiki,Unaenda whatsap meseji haziji,Ukiendwa Twita hivyo hivyo,Ukienda FB hivyo ukitembelea site zingine shida.Ukitaka ku upload files kwenye Drive shida.yaani hakuna kunachoenda Mpaka Productivity inaanguka kwa sabbu ya kukosa Spidi.Wekeni Spidi ya kutosha.DATA ndo kila kitu.