Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 804
- 2,131
uongo..mimi nipo kijijini haswa lkn halotel na voda ndiyo mitandao pekee yenye internet speed nzur...Ila huwezi fananisha na jipu Vodacom na Halotel,yani hawa kama halotel kwa sasa wanaishia mijini tu,nje ya miji ni maiti tayari,Vodacom nahisi wana corona.
Mmmhh Tanzania hii!Kwani bundle ndo linatengeneza kasi ya mtandao ?
Wwako hivyo huwa situmii kabisaKwa kweli ninahuzunika sana
Inakuaje mnakuwa na internet slow kiasi hiki? Iwe mjini au pembezoni kote ni Jau kabisa.
Fanyeni kitu bwana nyie ni mtandao wa watu wazima mnatakiwa muwe na mambo mazuri. Mnashindwa nini sasa?
This is too much.
Hii post nimeanza kuandika sijua saa ngapi ila ndo inaenda hewani sa hivi?
Wenye Mawasiliano ya Airtel Waambieni. Kesho nitawapigie huduma kwa wateja niwaeleze dukuduku langu.