Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hizo line ndani zina program tofauti.Je kwa line ya mwanzo unaweza badilisha ikawa ya chuo, na huduma za mabadiliko unafanyia kwenye maduka yao au hata wakala?
Naomba kujuzwa tafadhari.
Ya chuo ina feature ya *148*55#, wakati ya kawaida haina.
Hivyo mkuu ukitaka namba ya kawaida ya zamani uigeuze kuwa ya chuo, nenda kwene maduka yao kurenew waweza bahatisha.
Lakini katika kurenew utakapocommand namba yako hiyo waweza kukuta haipo kwenye orodha pia.
Kwa hiyo uwe tayari kubadili namba.
Unaweza kutengeneza namba inayoshabihiana na hiyo ya zamani, ikatofautiana kwa tarakimu nne za mwanzo tu.
Mfano ya zamani ni 0621...ya sasa wawezakuta ni 0626... na tarakimu zako 6 zinazofuata zikakubaliana.
Sijui umenielewa mkuu?