Airtel kwenye bando ni wezi wasio na aibu. Nnape hawezi kutusaidi, tufanyeje?

Je kwa line ya mwanzo unaweza badilisha ikawa ya chuo, na huduma za mabadiliko unafanyia kwenye maduka yao au hata wakala?

Naomba kujuzwa tafadhari.
Hizo line ndani zina program tofauti.
Ya chuo ina feature ya *148*55#, wakati ya kawaida haina.

Hivyo mkuu ukitaka namba ya kawaida ya zamani uigeuze kuwa ya chuo, nenda kwene maduka yao kurenew waweza bahatisha.

Lakini katika kurenew utakapocommand namba yako hiyo waweza kukuta haipo kwenye orodha pia.

Kwa hiyo uwe tayari kubadili namba.

Unaweza kutengeneza namba inayoshabihiana na hiyo ya zamani, ikatofautiana kwa tarakimu nne za mwanzo tu.
Mfano ya zamani ni 0621...ya sasa wawezakuta ni 0626... na tarakimu zako 6 zinazofuata zikakubaliana.
Sijui umenielewa mkuu?
 
acha kutumia bidhaa zao, tupaline weka ingine
 
vodacom nao wameanza kukata salio 100 kila ukiweka vocha.bila hata kukutaarifu unachangia umeme au ziara za makonda,ili ujue.
 
Hivi bado mnanunua bando πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜ tumieni unlimited acheni bando za kupimiwa Izo ni kausha damu 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…