Airtel mbona hamjali?

Airtel mbona hamjali?

chapachapa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
93
Reaction score
21
Pamoja na kuvumilia nainua mikono na kaachana nao.

Sababu ni nyingi kwanza badala ya kuendeleza vivutio ili wateja waendelee kuwepo mmeamua kupunguza ofa. Mnamfahamu kabisa kwamba watu wanatumia internet zaidi kwa bando za ofa nyinyi mmegandamiza tshs 1000 kwa MB 500.

Pili nimewahi kutuma pesa kupitia Airtel money kwenda tigo pesa, pesa haikufika kwa wakati na ilifika baada ya Mimi kufunga safari hadi ofisi zenu maana namba yenu huduma kwa wateja haina msaada na hairuhusu kuongea na mhudumu labda Kama mnayo namba nisiyoijua.

Ngoja niwakimbie
 
Airtel wana mambo ya ovyo sana, yani internet yao Ina speed ya kobe halafu wanapunguza Mb! Bora wenzao Tigo wanauza bando kwa Bei kubwa Ila mtandao upo na speed poa sana.
 
Back
Top Bottom