Airtel mnaiba bando au ni nini?

nanonya

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
238
Reaction score
388
Jamani siku tatu hizi zilizopita naona kifurushi kwangu kinaisha sana, hapo zingatia sifui video wala kudownload chochote.

Unakuta GB 2 zinaisha ndani ya lisaa, Seriously? Hivi ni kwangu tu au kwa wote?

Whatsapp tu ndo natumia sana na nimedisable media zote kujidownload automatic
 
KARIBU TANZANIA BANDO LA WIKI LINAISHA NDANI YA SIKU MOJA
 
Airtel sio bando linapukutika kama feni
 
kwakweli tunaibiwa sana bando za simu wakati huu yaani leo nmenunua gb 3 ndani ya lisaa tu naambiwa nmetumia asilimia 75 ya bando langu.mh halotel hawa...
 
Umechelewa sana kuwagundua hawa matapeli.

Kitambo sana nshawakimbia.

Kwanza mtandao wao uko very slow uwe mjini au kijijini hovyo kwelikweli.

Pili bando lao la wiki kuisha kwa dakika kadhaa.

Sitaki hata kuwasikia.
 
kwakweli tunaibiwa sana bando za simu wakati huu yaani leo nmenunua gb 3 ndani ya lisaa tu naambiwa nmetumia asilimia 75 ya bando langu.mh halotel hawa...
Huwa unazima data unapokuwa hutumii internet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…