AIRTEL mnakera kwa SMS kujirudia mara nyingi mtu anapotumiwa

Mungu Tusamehe Afrika

Senior Member
Joined
Jan 18, 2022
Posts
139
Reaction score
204
Kwa kweli airtel ni matako kwa huduma mbovu zaidi.

Kwa sasa ukitumiwa sms 1 injirudia zaidi ya mara mia na ukiomba msaada wanakwambia tunalifanyia kazi.

Huyo diamond ndiyo kaja kuyaleta haya au hao maIT wenu wanawahujumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…