Mungu Tusamehe Afrika
Senior Member
- Jan 18, 2022
- 139
- 204
Kwa kweli airtel ni matako kwa huduma mbovu zaidi.
Kwa sasa ukitumiwa sms 1 injirudia zaidi ya mara mia na ukiomba msaada wanakwambia tunalifanyia kazi.
Huyo diamond ndiyo kaja kuyaleta haya au hao maIT wenu wanawahujumu?