jupiter001
Member
- May 25, 2023
- 44
- 72
Umewalalamikia kwa call drop, lakini maelezo yako yanaelezea silent call.Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani .
Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni.
Mmezidiwa hadi na TTCL kweli?
View attachment 2691707
Huwezi kuwashutumu Airtel kwa measure moja tu call drop , airtel hawako vibaya kama mdau anavyo wa potrayUmewalalamikia kwa call drop, lakini maelezo yako yanaelezea silent call.
Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani .
Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni.
Mmezidiwa hadi na TTCL kweli?
View attachment 2691707