Airtel siku hizi ni kimeo balaa. Juzi tu nimeitolea uzi hapa. Siku hizi hata kwenye vifurushi vya internet kwa huku mikoani ni kama wananyang'anya tu hela. Unaweza uka-seach kitu inazunguka tu. Nikafikiri ni mimi tu nikauliza wengine wanaotumia airtel,wakaniambia airtel wamepunguza uwezo (speed) kwenye internet. Sijajua ni nini wanarenga?. Watu wako kwenye 4G wenyewe wanarudi nyuma. Ksbb tumeshaingia kwao tayari wanachokifanya ni kosa,(sawa na ujambazi)