Airtel mtulipe usimbufu tuliopata (Airtel Money)

Airtel mtulipe usimbufu tuliopata (Airtel Money)

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Huduma imeondolewa bila taarifa.Nimeshindwa kufanya transaction muhinu. Airtel mnafeli wapi kutoa taarifa kabla ???

Screenshot_20191006-042615.jpeg
 
Airtel siku hizi ni kimeo balaa. Juzi tu nimeitolea uzi hapa. Siku hizi hata kwenye vifurushi vya internet kwa huku mikoani ni kama wananyang'anya tu hela. Unaweza uka-seach kitu inazunguka tu. Nikafikiri ni mimi tu nikauliza wengine wanaotumia airtel,wakaniambia airtel wamepunguza uwezo (speed) kwenye internet. Sijajua ni nini wanarenga?. Watu wako kwenye 4G wenyewe wanarudi nyuma. Ksbb tumeshaingia kwao tayari wanachokifanya ni kosa,(sawa na ujambazi)
 
Mkuu unafanya kazi shipping line??
 
Back
Top Bottom