Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hili jambo nimejaribu kuongea na jamaa wa 100 nikajua watabadilika
Sasa sijui ni X wangu yuko airtel anafanya haya
Yaani na wiki ya pili natumiwa Meseji ya bundle lako limeisha tafadhali. Saa saba usiku mpaka saanane na robo
Nimewaza sana n mm pekee ama n wote?
Sasa hamwoni huu mda mnaweza vunja ndoa za watu mwanamke akahisi nyumba ndogo asbh anakutana na msg ya airtel
Haipendezi badiliken kwenye hili pls achen kutuma msg usiku wa ma nane wengine tumelala na hatuwezi weka silent simu kisa Airtel
Matumaini yangu mtaacha kabisa kutuma hizi msg usiku wa manane.
Na kama X wangu unasoma hapa naomba kama unahusika acha huko tushatoka tunajenga familia bana siku hizi
All the best