Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wizi hapo unless kama hamfahamu biashara za aina hii zinaenda enda vipi!!
Kabla hamjapost ishu zenu hakikisheni mmefanya research ya kutosha waungwana. First of all mjue kwamba kampuni haiwezi kukurupuka tu out of nowhere ikatumia nyimbo za mtu bila contract. Nnavyojua mimi Ngwair alikuwa na mkataba na kampuni inaitwa Push mobile kuwa ndio wasambazaji wa hizi ring back tone zake katika mitandao ya simu. Hizi nyimbo zake zilikuwepo katika RBT siku nyingi sana na marehemu alipata fedha zake zinazotokana na mauzo ya hizi Ring back tones. Hapa kilichofanyika ni kama kuwajulisha tena mashabiki wake kuwa ring back tone zake zinapatikana bado katika mitandao, mmoja wapo wa mtandao ni kama huo wa airtel. Sasa unapokurupuka kuita watu wezi/mafisadi uwe una proof ya hiyo kitu. Kilichokuwepo sasa ni kwamba pesa zinazopatikana katika hizi ringback tones zinaenda kwa familia ya marehemu familia yake inaelewa hivyo. Sasa wewe uliyetaka upewe ringtone bure, wewe na hizi kampuni nani mwizi. Wenzako wanakusanya pesa kusaidia familia wewe unataka kazi zake uzipate free, nani ni fisadi na mnyonyaji hapo???
Ndivyo wanasanii wanavyoibiwa haki zao mwisho wanaishia kula unga kwa ajili ya kuchanganyikwa.
Mkuu Lukansola,Asante NasDaz, nafuta comment yangu kwa sababu ni kweli sijui biashara hii inavyokwenda. Thank you very much
Unajua romeo, swala la mawasiliano ni muhimu sana hasa kwa taaasisi kama hii, kama tu wangekuwa wameeleza kinagaubaga kuwa 'promotion' hii ni kwa ajili ya kusaidia ndugu wa marehemu nadhani comment zingine usingeziona humu.
Swali la msingi; kwa nini wakumbuke kuwajulisha tena mashabiki kuwa ringtone za Ngwair bado zipo baada ya yeye kuaga dunia?
Mkuu Lukansola,
Hata kama swali lako ulilielekeza kwa romeo the one, wacha nimjibie!!
Kwamba Airtel ni wafanyabiashara nazani ni jambo lisilohitaji mjadala kwani hata wewe unafahamu hilo. Kilichofanywa ni Airtel ni ku-take advantage inayptokana na tabia za watu/mashabiki wa msanii yeyote yule pindi anapoaga dunia. Sijui ni kwanini, lakini uzoefu unaonesha kwamba pindi msanii anapofariki(sio TZ tu, bali popote pale duniani) basi mashabiki wanaibuka kwa kasi na kutafuta kazi zake! Si ajabu, hata wewe baada ya kusikia Ngwair amefariki, umeshawahi ku-play angalau nyimbo yake moja wakati hujafanya hivyo for couple of months! So, walichofanya Airtel ni ku-take advantage of Consumers Behavior.....hapa naomba nieleweke, walichofanya sio ku-take advantage ya kifo cha Ngwair bali ni ku-take advantage of Consumers Behavior!!
One love....na hapo ndipo tunapotakiwa kuwashangaa wanaotaka wote tuamini the same way.....ni lazima tutofautiane ili kupatiana elimu!Nimekusoma mkuu NasDaz, asante kwa elimu ya bure, pia ubishi wangu umenisaidia kuielewa vizuri concept ya consumer behaviour hahaha.
Okay nadhani kijana sasa tupo same page kwenye hili. Ndugu NasDaz amekupa mchanganuo mzuri tu so nisiongeze zaidi, ilimradi umeelewa basi iko sawa.Nimekusoma mkuu NasDaz, asante kwa elimu ya bure, pia ubishi wangu umenisaidia kuielewa vizuri concept ya consumer behaviour hahaha.
1.mobitel
2.buzz
3.tigo
Nawasifu vodacom,