Airtel mwacheni mshikaji apumzike, mnamuibia Ngwea hadi akiwa marehemu?

Hakuna wizi hapo unless kama hamfahamu biashara za aina hii zinaenda enda vipi!!

Asante NasDaz, nafuta comment yangu kwa sababu ni kweli sijui biashara hii inavyokwenda. Thank you very much


Unajua romeo, swala la mawasiliano ni muhimu sana hasa kwa taaasisi kama hii, kama tu wangekuwa wameeleza kinagaubaga kuwa 'promotion' hii ni kwa ajili ya kusaidia ndugu wa marehemu nadhani comment zingine usingeziona humu.

Swali la msingi; kwa nini wakumbuke kuwajulisha tena mashabiki kuwa ringtone za Ngwair bado zipo baada ya yeye kuaga dunia?
 
Mkuu Lukansola,
Hata kama swali lako ulilielekeza kwa romeo the one, wacha nimjibie!!
Kwamba Airtel ni wafanyabiashara nazani ni jambo lisilohitaji mjadala kwani hata wewe unafahamu hilo. Kilichofanywa ni Airtel ni ku-take advantage inayptokana na tabia za watu/mashabiki wa msanii yeyote yule pindi anapoaga dunia. Sijui ni kwanini, lakini uzoefu unaonesha kwamba pindi msanii anapofariki(sio TZ tu, bali popote pale duniani) basi mashabiki wanaibuka kwa kasi na kutafuta kazi zake! Si ajabu, hata wewe baada ya kusikia Ngwair amefariki, umeshawahi ku-play angalau nyimbo yake moja wakati hujafanya hivyo for couple of months! So, walichofanya Airtel ni ku-take advantage of Consumers Behavior.....hapa naomba nieleweke, walichofanya sio ku-take advantage ya kifo cha Ngwair bali ni ku-take advantage of Consumers Behavior!!
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma mkuu NasDaz, asante kwa elimu ya bure, pia ubishi wangu umenisaidia kuielewa vizuri concept ya consumer behaviour hahaha.
 
Nimekusoma mkuu NasDaz, asante kwa elimu ya bure, pia ubishi wangu umenisaidia kuielewa vizuri concept ya consumer behaviour hahaha.
One love....na hapo ndipo tunapotakiwa kuwashangaa wanaotaka wote tuamini the same way.....ni lazima tutofautiane ili kupatiana elimu!
 
Nimekusoma mkuu NasDaz, asante kwa elimu ya bure, pia ubishi wangu umenisaidia kuielewa vizuri concept ya consumer behaviour hahaha.
Okay nadhani kijana sasa tupo same page kwenye hili. Ndugu NasDaz amekupa mchanganuo mzuri tu so nisiongeze zaidi, ilimradi umeelewa basi iko sawa.
 
1.mobitel
2.buzz
3.tigo

Nawasifu vodacom,

Hebu angalia line ya vodacom ya mwanzo ilitawaliwa na rangi gani! Au rangi ya utambulisho ya Vodacom awali, kama unakumbuka ilitawaliwa na Kijani na sasa Je! Nyekundu sio! Wote ni wale wale kijana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…