Airtel na gharama mpya

Airtel na gharama mpya

MAMU35

Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
63
Reaction score
6
Kampuni ya airtel imetuma msg hii kwa wateja wake,
"Habari njema kutoka Airtel,kuanzia tarehe 10 Feb kifurushi cha 400MB kitakuwa 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumia kwa siku 10.Furahia kuperuzi na Airtel":wof: Kwa gharama hizi wateja wataziweza?
 
Back
Top Bottom