Airtel naomba ufanunuzi

Airtel naomba ufanunuzi

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,217
Reaction score
853
Nimeona niyaweke wazi yaliyonisibu ili airtel watoe ufafanuzi ili iwe faida kwa wote wanaopita humu. Mimi ni mtumiaji wa laini moja tu airtel. leo nimeweka vocha ya sh. 1000 na nikapiga *148*22#, baada ya kuchagua some options na kulipia sh. 900 nikapata ujumbe unaosema "Congratulations, You have non stop internet and can call all networks for 1 Sh /sec. Valid until 11-06-2014 09:03. Fair usage policy applies.'' baada ya hapo nilimpigia mtu wa tigo na niliongea nae kwa sekunde 86 na simu ikaisha salio na kukata.

Kama ujumbe wao unasema nitalipia sekunde 1 kwa sh. 1 elimu yangu ya hesabu za memkwa inaniaminisha kwamba nilipaswa kuonge kwa sekunde 900 tangu ndani ya saa 24 tangu nijiunge na bundle husika, kama hivyo ndivyo sekunde zangu 814 zimeenda wapi? au ujumbe wenu sikuuelewa?

Naomba ufafanuzi maana nina miaka 13 na laini hii ya Zain otherwise ni zamu ya kuyachangia makampuni mengine.
 
Nimeona niyaweke wazi yaliyonisibu ili airtel watoe ufafanuzi ili iwe faida kwa wote wanaopita humu. Mimi ni mtumiaji wa laini moja tu airtel. leo nimeweka vocha ya sh. 1000 na nikapiga *148*22#, baada ya kuchagua some options na kulipia sh. 900 nikapata ujumbe unaosema "Congratulations, You have non stop internet and can call all networks for 1 Sh /sec. Valid until 11-06-2014 09:03. Fair usage policy applies.'' baada ya hapo nilimpigia mtu wa tigo na niliongea nae kwa sekunde 86 na simu ikaisha salio na kukata. kama ujumbe wao unasema nitalipia sekunde 1 kwa sh. 1 elimu yangu ya hesabu za memkwa inaniaminisha kwamba nilipaswa kuonge kwa sekunde 900 tangu ndani ya saa 24 tangu nijiunge na bundle husika, kama hivyo ndivyo sekunde zangu 814 zimeenda wapi? au ujumbe wenu sikuuelewa? Naomba ufafanuzi maana nina miaka 13 na laini hii ya Zain otherwise ni zamu ya kuyachangia makampuni mengine.

Mkuu nadhan ukuwaelewa Airtel. Jamaa wanamaanisha umekatwa sh 900 kwa ajili ya unlimited internet vilevile wamekufa offer ya kupiga simu kwa sh 1. Kwa hiyo kila simu utakayokuwa unapiga utakuwa una chagiwa sh 1 kwa sec na kama ukituma sms utakuwa unachargiwa the normal rate.
 
Mkuu nadhan ukuwaelewa Airtel. Jamaa wanamaanisha umekatwa sh 900 kwa ajili ya unlimited internet vilevile wamekufa offer ya kupiga simu kwa sh 1. Kwa hiyo kila simu utakayokuwa unapiga utakuwa una chagiwa sh 1 kwa sec na kama ukituma sms utakuwa unachargiwa the normal rate.

Hahaha Nadhani hakuelewa chaguo alilofanya na alichokuwa anataka.
 
Nime subsribe kwenye switchon internet ys mwezi, lakini imekwa slow sana for last few days... ni mimi tu au ni wote ?
 
yeah nadhani hajanielewa huyu
 
Back
Top Bottom