Airtel ndiyo mtandao wa ovyo zaidi Tanzania

πŸ’―
 
Lipia tangazo lako 😊
 
Ni moja ya mtandao wa kipumbavu kuwahi kutokea Tz [emoji23] wanaweza wakakupa bando ila network utajua utajapo ipata.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ––πŸΎ
 
Mitandao ya bongo ni hovyo kupita maelezo.tunavumilia tu maisha yaende.Ndo maana unakuta tuna maline kibao.ukizinguliwa uku unahamia uku siku zisogee.
 

πŸ€“ For sure,Airtel sio jipu maana jipu linapona. Airtel ni DONDA NDUGU haliponi na hawabadiliki hawa Jamaa. Wahudumu na huduma zao ni za hovyo mno. For sure ata ukitembelea makao pale Morocco wahudumu yaani wanavibesi halafu wamesinyaaa kinoma dah!! Sasa watu wamekomaa vile unategemea nyororo kweli
 
Uandishi wa kilaza
 
Hawa nao chenga sana maana wanatuunganisha kwenye huduma tusizozijua na ukiwauliza wanakwambia ndiyo ulijiunga kweli.

Mfano mimi niliambiwa nilikopa siku 2 nyuma ukiangalia wakati huo nilikuwa kifurushi Cha wiki na dk zilibaki kibao tu sasa nikiwauliza nawezaje kukopa wakati dakika za kifurushi bado zipo jibu la customer care ni kwamba wewe ulikopa[emoji15]

Hii mitandao ina huduma finyu sana katika vitengo vya huduma kwa wateja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…